Translations:Forgiving Step by Step/22/sw
- Sasa hivi natamka msamaha (Ninamsamehe — kwa kwa kosa la —) Amua mara moja na uwache yote mikononi ya Mungu.
- Kosa linalojirudia: Watu mara nyingi wanamuambia Mungu nini awatendee waliokosa, hili ni kama laana. Ama tunasema kuwa tungependa kusamehe bila kufuatilia huo uamuzi (kwa kusema Mungu nisaidie kusamehe).