Translations:Forgiving Step by Step/28/sw
- "Kusamehe" Mungu
- Wakati mwingine tunakuwa na mawazo mabaya juu ya Mungu au hata tunamkasirikia. Mungu kamwe hafanyi makosa, kwa hivyo hatuwezi kumsamehe. Lakini ni muhimu kwamba tuachane na kufadhaika na hisia zetu mbaya kwake.